Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kwa hiyo kweli mradi wa bwawa ndio hakuna Upigaji? Akili za simbilisi hizi..Kwa nini watawala wasio na nia njema na CCM hawatati mradi wa JNHP ukamilike na kutatua kero ya umeme hapa nchini?
Kisingizio kinakuwa hali ya hewa.
Tangu mlete miradi ya na majenereta ya mafuta na gas tukawa tunaibiwa na Dowans Aggrekoz, Iptl na utapeli wa Richmond nyie CCM vibaka mbona hamna huruma?
Mnataka kuamisha umma kuwa Kinyerezi 1,2,3, mpaka 10 ndio suluhu?
Mbona wachina wanakomaa zaidi na Hydropower? Ndio kusema tunaibiwa kupitia gas na mafuta?
Aise ombeni Mungu mtu kama mimi kamwe nisipate nafasi nchi hii, hizi lugha zenu za kiburi na dharau mtazirudisha ndani yenu na kufyata mikia yenu hiyo inayowapa dharau kama hizi....Kwa hiyo kweli mradi wa bwawa ndio hakuna Upigaji? Akili za simbilisi hizi..
China ndio role model wako? Ulitaka wakomae na Nini Kama hawana gas?
Mwisho tuwekee energy mix ya China.
Jikite kwenye hoja sio kioja..Aise ombeni Mungu mtu kama mimi kamwe nisipate nafasi nchi hii, hizi lugha zenu za kiburi na dharau mtazirudisha ndani yenu na kufyata mikia yenu hiyo inayowapa dharau kama hizi....
Uje uni fix saa hizi, maana baada ya saa hii itakuwa too late...Jikite kwenye hoja sio kioja..
Ukileta ujinga tuna ku fix before kuleta madhara zaidi