Kuna nini mtandao wa CRDB Bank?

Hofstede

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2007
Posts
3,577
Reaction score
1,109
Nina kawaida ya kuangalia exchange rates kabika Bank mbalimbali, leo nimejaribu kuingia http://www.crdbbank.com/ Ninaambiwa Domain ime - expire: kutokana na ujumbe huu

'This domain name expired on Feb 25 2012 01:38PM
Click here to renew it'

Swali kama kuna member yeyote wa CRDB anijuze ni nini kinaendelea? ina maana wameshindwa kumlipa ASP wao au wametransfer huduma kwa new ASP?. lama kama wametrasfer mbona Google inashindwa ku-pick with that?. Au wamekuwa hacked?
 
kwanza correction mkuu. Ni ISP na sio ASP na pili website yao inafanya kazi
 
Hapa UDSM ATM yao ya MABIBO HOSTEL haifanyi kazi toka jana.
 
hata mimi nilikuwa na problem hiyo asubuhi lakini sasa ipo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…