Kuna nini?? Nishaurini jamani

Kuna nini?? Nishaurini jamani

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
Imepita miaka kama mitatu hivi niko katika urafiki na bibie lakini hatujawahi kuwa wote kwenye 6 x 6. Mara ya kwanza nilipanga naye lakini baada ya kupata kilaji sawasawa mi mwenyewe niliondoka pasipo kumuaga akabaki kwenye room peke yake. Mara ya pili akaniita yeye, kama kawaida tukaongea kwa nini niliondoka, sikuwa na sababu ya msingi - tukapanga siku ya kutimiza ahadi. Ilipofika siku nikamkuta kwenye eneo tayari ameishachukua na chumba - akapigiwa simu akaondoka na kuniacha na mafunguo ya hotel. Imekuwa ikitokea hivyo mara kwa mara, jana mapumziko ya 8/8 tukakubaliana kuonana tukaonana, imefika mida ya usiku tukatoka wote kwenda ku-do; historia imejirudia vilevile, nashindwa kujua ni kwa nini.... kuna ambaye iliwahi kumtokea?
 
Kuna kitu unaepushwa hapo either wewe au bibie na ni kikubwa sana
Jiangalie na kabla ya kudo nendeni mkapime mhakikishe mko salama wote wawili
 
Mungu hapendi mtende dhambi hiyo ndo mana mnapanga lkn hamtimizi, km mnapendana na mko tayari kuish pamoja fungeni ndoa
 
Mwenye busara utamjua kwa points zake. Nashukuru kwa mawazo yako.
 
For whatever reason it was never meant to be...let it go!!!
 
watu wanakufa kwenye Dirisha la mshahara.
Mbona lako la kawaida sana.
Kwanza unaonekana haupo tayari kufanya nae mapenzi.we unafikiri kama ungekua umemuandaa vizuri angeondoka?
Give me a break my pal!

Maujanja saplaya yanaitajika.
 
Kuna kitu unaepushwa hapo either wewe au bibie na ni kikubwa sana
Jiangalie na kabla ya kudo nendeni mkapime mhakikishe mko salama wote wawili
Mi mwenyewe nimeishashtuka kaka.
 
Unafikirai kama wabunge wa Dar es Salaam? yaani kwa kutumia makalio?
 
Simple acheni uzinzi. Badala ya kujiuliza kwanini inakuwa hivi, hebu jiulize hivi ni kwanini unataka kufanya uzinzi
 
Sometimes mambo hayo muhimu ndg yangu. Hata yeye amenipigia sm ananiuliza ni kwa nini
 
I think it was and it is not meant for you. Jipange upya na uangalie kama kweli itafanya kazi na inawezekana Mungu anakuepusha na mengi so be careful brother
 
Imepita miaka kama mitatu hivi niko katika urafiki na bibie lakini hatujawahi kuwa wote kwenye 6 x 6. Mara ya kwanza nilipanga naye lakini baada ya kupata kilaji sawasawa mi mwenyewe niliondoka pasipo kumuaga akabaki kwenye room peke yake. Mara ya pili akaniita yeye, kama kawaida tukaongea kwa nini niliondoka, sikuwa na sababu ya msingi - tukapanga siku ya kutimiza ahadi. Ilipofika siku nikamkuta kwenye eneo tayari ameishachukua na chumba - akapigiwa simu akaondoka na kuniacha na mafunguo ya hotel. Imekuwa ikitokea hivyo mara kwa mara, jana mapumziko ya 8/8 tukakubaliana kuonana tukaonana, imefika mida ya usiku tukatoka wote kwenda ku-do; historia imejirudia vilevile, nashindwa kujua ni kwa nini.... kuna ambaye iliwahi kumtokea?
wewe libido iko chini au mtarimbo legevu sana
Wanaume wa kweli hifikia hata kulazimisha gemu wewe unaremba.
 
Hata siku moja siwezi kulazimisha mambo hayo. Nahisi kuna kitu Mungu ananiepusha
 
Back
Top Bottom