Gaga JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,558 Reaction score 1,970 Aug 13, 2011 #61 Sasa tutor wewe kule si una mtu wako mpaka unachelewa kwenda kulala unamwacha analalamwenyewe, huku tena unasalandia demu mwingine, yule tu anakushinda kumpetipeti huyu nae utaweza, weka nguvu zako sehemu moja utapata matunda yake mkuu
Sasa tutor wewe kule si una mtu wako mpaka unachelewa kwenda kulala unamwacha analalamwenyewe, huku tena unasalandia demu mwingine, yule tu anakushinda kumpetipeti huyu nae utaweza, weka nguvu zako sehemu moja utapata matunda yake mkuu