Kuna nini nyuma mwiko wameumia mioyo sana na matokeo kuliko Tabora wenyewe?

Wewe ni kolo eeh?
Kolo uyo we umjui? Zikipigwa timu nyingine uwa anakuja hapa haraka haraka kuanzisha nyuzi kwamba matokeo yamepangwa lakini ya Simba kupanga matokeo uwa anavaa miwani ya mbao!
 
Mpira wa mipango unaonekana na matokeo halisi unaonekana
 
Attachments

  • 20241229_070802.jpg
    100 KB · Views: 3
  • 20241225_065945.jpg
    116.7 KB · Views: 2
Reactions: Tui
Kolo uyo we umjui? Zikipigwa timu nyingine uwa anakuja hapa haraka haraka kuanzisha nyuzi kwamba matokeo yamepangwa lakini ya Simba kupanga matokeo uwa anavaa miwani ya mbao!
Sijawahi kuanzisha uzi wa aina yoyote kuhusu hizi team zenu za simba na yanga.

ephen_
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…