Kuna nini nyuma ya ndoto hii? Naomba msaada

Hapo inategemea na wewe mwotaji uwa unaotaje, Mimi nikiona inakuwa hivyo hivyo Kama nilivyoota

Kuna mjomba angu aliota kijijini kwetu Kuna msiba Tena huyo MTU kafa gafla,

Akaamka asubuhi akatuadisia tukacheekaaa Tena anamtania Bibi kwenu Kuna kizee kitavuta
Baada ya siku tatu mjomba akaanguka seblen huku kashika sim hapo hapo akafa
 
Ndoto zinatumika kufikisha taarifa kwenye ulimwengu wa roho.Kila ndoto ina maana.Na sio kila mtu anaweza kutafsiri kila ndoto.Nikushauri nenda kwa viongozi wako wa kiroho watakupa tafsiri iliyosahihi zaidi au mwongozo wa yupi unaweza kumwendea ili akupe tafsiri hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…