Kuna nini nyuma ya pazia magari yenye rangi nyeusi kupendwa na Serikali?

Kuna nini nyuma ya pazia magari yenye rangi nyeusi kupendwa na Serikali?

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Salute JF.

Toka nakua nashuhudia magari ya kijapani Land cruiser V8 yenye rangi nyeusi yakitumika zaidi na viongozi wa ngazi za juu Serkalini kuanzia ma DED hadi ngazi kubwa kabisa ya Rais.

Hivi kwanini isiwe rangi ya Silver au White? ila ni black tu ndio ikitumika zaidi. Unaweza ukaungana na Mimi katika hili.

Pasinashaka Land cruiser ndio brand kubwa katika mauzo katika nchi zetu za kiafrika kutokana na uimara wake zikiwa katika barabara zimepewa majinamengi tukiziiita "Kilimo kwanza" wenzetu wazungu wakiziita "The king of the roads"

dodoma_zone__2-___CHe4BPnADRI___-.jpg
 
Back
Top Bottom