Kuna nini TCU mwaka huu

Yaani issue hapa sio TCU pekee,Watanzagiza(wtz) tumerogwa haya masuala ya kila mtu anafanya anavyoweza na ndio maana tcu watawazingua na kisha vyuo vitafunguliwa na wale ambao watakuwa wamebahatika kupata vyuo wataenda vyuoni watasoma orientation week watamaliza harafu loan board watawambia kwamba hata form zao hazikuwahi kufika! soo likiingia barabarani watapigwa risasi za moto, je bora lipi ukae home au uende kozi za kimafia?

Mpaka kchwa kinaumah!

Jamani hivi TCU ndo nini? Au ndo UDA, RICHMOND, DOWANS, EPA, MEREMETA, IPTL, KAGODA, HESLB, NECTA, NEC, TTCL, TLP, UDOM?
Watanzania bwana tuna mambo mengi sana ya kifisadi fisadi na hatukosi kulalamika na hatuchukui hatu. Anyway MUNGU ataturehemu na haya majanga ya kujitakia.

GUMADI.
TCU TCU TCU kutakua na jambo na litaleta mshangao kwa wengi pindi watakapotoa majina ya walio chaguliwa

Jamani umeme hamna,mafuta(dizeli,petroli)ya kubangaiza,hii inaweza ikawa moja ya sababu.

wanasema Names of the selected applicants for 2011\2012 academic year will be published sometimes in july 2011

huzion kivp?

unapoingiza user name na password si unakuta kuna home,my profile,my program,na selection result.cku zote ukichek my program naziona zote8 bt since jana nikichek hauna yaani inaandika no program found.vp we mkuu zako zpo?

Jarib tena kuzichek leo. Ts jus a netwrk inashndwa load ya prog bt aftr a time inarud 5n.

ila nadhani serikali ndo chanzo kikuu,wamezoea kusema uongo uongo,sasa kulikuwa na umuhimu gani wa kusema tarehe 4 watatoa!! Hilo la MIKOPO,nalo me mwenyewe nazifikiria...

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…