vijana mna hasira,lkn 2punguze jazba km program ambz hazijakamilika ktk baadhi ya vyuo wameshazitaja bac hii inamaanisha kuwa majina yp krb kutolewa,lkn na mm nadoubt kwa nn tarehe ya 2nd applxn itajwe alaf majina unreleased!
na deadline yao ya 2nd applxn ikifika na bd hakijaeleweka itakuwaje!!!
nadhani t*u hacked