Kuna njia moja tu ya Azam kuwa na fan base kubwa nayo ni output ya investment

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Hatuwezi kushangaa uwekezaji wa Azam ila tutashangzwa na matokeo ya uwekezaji, ikiwa unawekeza ili kuleta ushindani lakini hakuna mafanikio katika mipango yenu mujue fika kuwa there's reason behind your failure just imagine how could you invest big but you earn small?hebu fukuzeni makocha hao then vunjeni mkataba wa Nabi pale Kaizer Chiefs then tuone what next? au Motivate them to gain momentum hivi hamuioni yanga inaishi as if family?

Nakumbuka wakati yanga inajitafuta ilifukuza hawa wachezaji wanaosemekana kuwa wanatumia urozi na ikaweka mfumo wa behaviror approach kwa wachezaji ndiyo sababu kuu ya maendeleo, wakaenda Spain, France na England kujifunza kwa waliyowazidi (team management) na hadi kufikia sasa ambapo imegharimu miaka 5 tu,kucheza fainal ya confederation cup,qurter final of CAF champions league and now again is AFRICAN FOOTBAL LEAGUE.

Suala la mpira linahitaji mitazamo na ubunifu na siyo ushindani na malengo.

Haiwezekani kuwa mmechukua wachezaji wa yanga na simba ambao walitoa mchango mkubwa katika mafanikio ya hizi timu then bado mnaendelea kufail,huwenda tatizo lipo katika mfumo wa mazoeaa,unfriendly team reduce motivation tafuteni namna nzuri kwenye benchi la ufundi ili mulete competition.
 
Sera ya Azam ni kuburudisha watu wa Chamazi wala haijaanzishwa kwaajili ya kuleta ushindani na kubeba mataji.

Seriousness huanzia ngazi ya juu kisha wengine wangefuata. Lakini kama ngazi ya juu ipo comfortable kabisa hawana kiu na mafanikio je hawa wachezaji watakuwa serious?

Wachezaji wa Azam wanarizika kabisa
 
Sera ya Azam ni kuburudisha watu wa Chamazi wala haijaanzishwa kwaajili ya kuleta ushindani na kubeba mataji.
Seriousness huanzia ngazi ya juu kisha wengine wangefuata. Lakini kama ngazi ya juu ipo comfortable kabisa hawana kiu na mafanikio je hawa wachezaji watakuwa serious? Wachezaji wa Azam wanarizika kabisa
hivi leo wametoka ngapi ngapi na jkt sijasikia kelele mitaani
 
nadhani tatizo la Azam ni uongozi,
ile timu wanajali sigda kuliko uwezo.....pumbafu kabisa
 
hadi kufikia sasa ambapo imegharimu miaka 5 tu,kucheza fainal ya confederation cup,qurter final of CAF champions league and now again is AFRICAN FOOTBAL LEAGUE.
Kumbe kushiriki robo fainali tena mara MOJA na kucheza AFL ni mafanikio makubwa ya kujivunia, sasa mbona kuna watu walikuwa wanajizima data?
 
Simba ilikuwa na pesa . Thats why imefika hapo . Yanga that 4 years of Simba dominance . Ilikuwa chakali .

Ila Azam they have money . They have no reasons to fail . Simba ya sasa na pesa zote mambo Mabaya Sana . Shida nini ??
 
Katika vipimo vyako vya mafanikio ya Yanga umetaja vitu vitatu, fainali CAFCC, quarter (SIYO qurter) final ya CAFCL na AFL.

Katika hivyo ulivyotaja Simba imefika hiyo quarter final (SIYO qurter) mara ngapi zaidi ya Yanga katika kipindi hicho? Umetaja ushiriki wa AFL ambayo Simba ilipewa heshima ya uzinduzi wakati Yanga haikufikiriwa na mpaka sasa haijashiriki ila bado unapata ujasiri wa kusema Simba "mambo mabaya sana".

Unajichanganya mwenyewe kwa kusema Simba ilifanikiwa kwa sababu ilikuwa na pesa na Yanga haikuwa nazo ila wakati huo huo unawalaumu Azam wenye pesa kwa kutofanikiwa. Hapo inakuonyesha mafanikio yanahitaji zaidi ya pesa. Si kwamba Yanga ilikuwa katika hali ya kutembeza bakuli katika miaka yote ya uwepo wake ila haikuwahi kuwa na mafanikio yoyote kimataifa ya kujivunia kwa hiyo usitumie hicho kama kisingizio.
 
Simba Ikifika final ya cafcc . Yanga at least quarter finals za afl na cafcl hapo ndo minimum . Yanga akifika semi finals ni kitu kingine .
Lastly kumbuka quarter final ya afl ni timu 8 tu . So it was given not earn . Sasa afl ni timu 24 . Ni kazi kazi .

Simba ya last season ilikuwa Kali sana . Ya this season . I will wait to see .

Ila fika final ya catcc au this season kwako ni failure. Yanga quarter finals . We move.

Yanga ikiwa na finance nzuri Simba Ina struggle Sana to keep up . This is well known .

Sema Simba mnanyota ya international games
 
Jaribu kutofautisha "opinion" na "fact", nadhani vitu hivyo viwili vinakuchanganya
 
Fact ipo wazi Simba international games uliweza mapema na pia ni fact kuwa pesa za mo ziliwezesha swala hilo .

Ubora wa mpira pia ume badilika sana . Kipindi hicho na sasa . Ni fact . Caf team nyingi Africa zimeamka .
 
Hatuwezi kushangaa uwekezaji wa Azam ila tutashangzwa na matokeo ya uwekezaji, ikiwa unawekeza ili kuleta ushindani lakini hakuna mafanikio katika mipango yenu mujue fika kuwa there's reason behind your failure just imagine how could you invest big but you earn small?hebu fukuzeni makocha hao then vunjeni mkataba wa Nabi pale Kaizer Chiefs then tuone what next? au Motivate them to gain momentum hivi hamuioni yanga inaishi as if family?

Nakumbuka wakati yanga inajitafuta ilifukuza hawa wachezaji wanaosemekana kuwa wanatumia urozi na ikaweka mfumo wa behaviror approach kwa wachezaji ndiyo sababu kuu ya maendeleo, wakaenda Spain, France na England kujifunza kwa waliyowazidi (team management) na hadi kufikia sasa ambapo imegharimu miaka 5 tu,kucheza fainal ya confederation cup,qurter final of CAF champions league and now again is AFRICAN FOOTBAL LEAGUE.

Suala la mpira linahitaji mitazamo na ubunifu na siyo ushindani na malengo.

Haiwezekani kuwa mmechukua wachezaji wa yanga na simba ambao walitoa mchango mkubwa katika mafanikio ya hizi timu then bado mnaendelea kufail,huwenda tatizo lipo katika mfumo wa mazoeaa,unfriendly team reduce motivation tafuteni namna nzuri kwenye benchi la ufundi ili mulete competition.
Hawajawahi kuwa serious hao.
 
Swali fikirishi je uongozi wa Azam fc wanajua umuhimu wa mashabiki?
 
Back
Top Bottom