Mzungu wa Meli
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 215
- 277
Heshima kwenu wapendwa.... naomba kuuliza... kuna njia za kutambua kama nimepigwa limbwata na mwanamke?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unavaa nae sare ya kitenge bro jua umeshachelewa!Heshima kwenu wapendwa....naomba kuuliza...kuna njia za kutambua kama nimepigwa limbwata na mwanamke?
Hapo kwenye kundi la Westlife😂Dalili za limbwata
🤣🤣🤣🤣Dalili za limbwata
Kuwahi kurudi nyumbani
Kumwambia mke wako kiasi cha mshahara unacho pokea
Kuongozana na mke wako kama kundi la Westlife mda wote mpo pamoja
Kushona sare
Kupiga umbea na mke wako
Mke kukufokea na kukaa kimya usimpige hata kofi
Ukitaka utafune mchepuko unaogopa au dushe kuzima kabisa
Kutopenda ndugu zako waje kwako
Kupenda ndugu pamoja na ukweni kuliko kwako ulikozaliwa
Kusaidia ndugu wa mke kuliko wako
Kumwambia siri zote mke wako
Na mengineyo wengine watakujuza
😁😁😁Dalili za limbwata

[emoji28][emoji28][emoji28]Dalili za limbwata

Haahaha mkuu umemaliza kwa kiwango cha lami.Dalili za limbwata
Kuwahi kurudi nyumbani
Kumwambia mke wako kiasi cha mshahara unacho pokea
Kuongozana na mke wako kama kundi la Westlife mda wote mpo pamoja
Kushona sare
Kupiga umbea na mke wako
Mke kukufokea na kukaa kimya usimpige hata kofi
Ukitaka utafune mchepuko unaogopa au dushe kuzima kabisa
Kutopenda ndugu zako waje kwako
Kupenda ndugu pamoja na ukweni kuliko kwako ulikozaliwa
Kusaidia ndugu wa mke kuliko wako
Kumwambia siri zote mke wako
Na mengineyo wengine watakujuza
Huwezi kujua mpaka liishe nguvu, maana utaona unachofanya ni sahihi na ni mahabaHeshima kwenu wapendwa.... naomba kuuliza... kuna njia za kutambua kama nimepigwa limbwata na mwanamke?
![]()
Acha kutuharibia weweDalili za limbwata
Kuwahi kurudi nyumbani
Kumwambia mke wako kiasi cha mshahara unacho pokea
Kuongozana na mke wako kama kundi la Westlife mda wote mpo pamoja
Kushona sare
Kupiga umbea na mke wako
Mke kukufokea na kukaa kimya usimpige hata kofi
Ukitaka utafune mchepuko unaogopa au dushe kuzima kabisa
Kutopenda ndugu zako waje kwako
Kupenda ndugu pamoja na ukweni kuliko kwako ulikozaliwa
Kusaidia ndugu wa mke kuliko wako
Kumwambia siri zote mke wako
Na mengineyo wengine watakujuza
Limbwata likiisha nguvu naweza kurenew???Huwezi kujua mpaka liishe nguvu, maana utaona unachofanya ni sahihi na ni mahaba