Kuna njia za kutambua kama nimepigwa limbwata?

Acha wasiwasi mkuu, kama unampenda mpende tu bora hufanyi vitu vya kizembe.

Usiogope limbwata ukaanza kumkazia mtoto wa watu maisha bure
 
Dalili za limbwata

Kuwahi kurudi nyumbani

Kumwambia mke wako kiasi cha mshahara unacho pokea

Kuongozana na mke wako kama kundi la Westlife mda wote mpo pamoja

Kushona sare

Kupiga umbea na mke wako

Mke kukufokea na kukaa kimya usimpige hata kofi

Ukitaka utafune mchepuko unaogopa au dushe kuzima kabisa

Kutopenda ndugu zako waje kwako

Kupenda ndugu pamoja na ukweni kuliko kwako ulikozaliwa

Kusaidia ndugu wa mke kuliko wako

Kumwambia siri zote mke wako

Na mengineyo wengine watakujuza
 
Kumwachia gari mkeo atembelee na wewe unapanda daladala.

Kusahau kutongoza.

Kutongoza na kuchomolewa mara kadhaa, hata ukitongoza beki 3 anagoma.

Kuangalizia mpira nyumbani badala ya bar.
 
🀣🀣🀣🀣
 
😁😁😁
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Msichanganye limbwata na mapenz ya dhati.
Enewei, me nmepigwa limbwata na nimekubaliana nalo.

Kujua n mpaka uende kwa wataalamu na n ngumu kupata hlo wazo coz limbwata inafunga hadi ufahamu wa mtu husika.
 
Haahaha mkuu umemaliza kwa kiwango cha lami.
 
Acha kutuharibia wewe
Sie mahaba tu mnadai limbwata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…