Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Hii perfume ina harufu moja matata sana ikikukolea mwilini ni kama mvuta sigara, yaani hadi jasho lako linatoa harufu ya redrose
Naikumbuka sana kwa sababu kuna Dada mmoja nilikuwa nampenda sana katika makuzi yangu na yeye alikuwa anapenda sana redrose yaani mpaka leo nikisikia hiyo harufu na huyo Dada anakuja akilini paap.