Kuna phase two na three ya Royal Tour

Kuna phase two na three ya Royal Tour

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Wadau naomba nielewe maana ya hii kitu Rais amesema kuna phase two na three... au ni part two na three?

Rais anasema alikuwa muigizaji wanapiga takes kadhaa akikosea anarudia.

awataja maafisa usalama kama changamoto asema walikuwa wanamzuia kufanya baadhi ya scenes.

Rais ameyasema hayo JNICC akizindua royal tuor
 
Sio phase, ni EPISODES kama sio SEASONS…. coming soon.
 
Back
Top Bottom