Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Kuna watu wengine wanajiita wasomi tena wa kiwango cha degrees na phD wanajitamba mtaani na huko vyuoni kwa usomi wao uchwara halafu usomi wao au kozi zao hazina faida yoyote ile zaidi ya kutujazia machawa huku mtaani yaani napatwa na hasira kweli.
Yaani mtu anasoma degree au
PhD inayohusiana na ualimu,sheria, socialogy, engineering, accountancy, public administration, political science na zingine nyingi ambazo hazina faida yoyote ile
Serikali ilitazame hili nchi inajitopea kwenye umasikini kwa kuruhusu kozi ambazo hazina faida yoyote kozi zote za Afya, computing science,IT,kozi zote za kilimo,kozi zote za uhandisi, bank and finance, na kadhalika ndiyo kozi ambazo nchi kama nchi ndizo tunapaswa kuwekeza.
Kama phD ya theology ina faida gani?