Kuna Picha Kuwa Mamlaka Inamuhofia Mwigulu Ndio Chanzo cha Migogoro Kuwa Endelevu

Kazi ya Waziri wa viwanda na biashara ni ipi?
 
Mbona mnatuchanganya!?
Je, tatizo ni Samia, Mwigulu au CCM?
 
Lengo la mwigulu ni kumpigisha chura shoti kwa wananchi ndio muhimu kwake na kafanikiwa.
Chura nae ndio uyo anawaza safari z majuu tu. Cjui hata km yupo Tanganyika hii.




KAZI ni kipimo cha UTU
 
Mwigulu uwe na utu na huruma kiukweli wewe ni kikwazo sana hujui tu unavyotuumiza ila angalia kuna kesho
 
Mwigulu anafanya haya na kujiharibia yeye mwenyewe. Kwenye hotuba ya bajeti mwaka 2021 aliseme kuwa "Yupo tayari kuwa unpopular finance minister" ila serikali ipate pesa. Alijua anayofanya hayawapendezi watu, sasa yamejikusanya na yanamrudia.
 
Mama kesharekebishwa usicheze na Mizizi mikavu ya pale Sekenke.
Lakini huko Sekenke wananchi wameshamstukia. Siku moja nimesimamisha gari pale Shelui, kamji kadogo baada ya kuteremka Sekenke ili kununua mafuta ya Alizeti kwa kina mama wajasiria mali.
Nikawaambia naona mambo yenu yako poa maana mna waziri wa fedha ana wapa michongo! Jibu nililopata nilishika mdomo, yule mama alijibu kwa sauti tena bila woga na kicheko cha wenzake kikimsapoti. Alisema "achana na tapeli huyo!"
 
Naunga mkono hoja. Lakini mwigulu anaripoti kwa bosi wake. Kama bosi wake hajaridhia sheria zibadilishwe hakuna kitu kitafanyika
 
Mwigulu hana haiba ya kuongea na hajuwi kujieleza vizuri na muongo sana.
 
Naunga mkono hoja. Lakini mwigulu anaripoti kwa bosi wake. Kama bosi wake hajaridhia sheria zibadilishwe hakuna kitu kitafanyika
Anaelekezwa utekelezaji lakini hafatilii na anapeleka uongo mwingi kwa boss wake.

Hivi anawekwa "deka" tu mwaka wa uchaguzi upite salama. Lakini akizidisha kiburi hata uchaguzi hautangojwa uishe atatumbuliwa.
 
Magufuli, Lowasa na Mwigullu walibarikiwa na Nabii na Mtume TB Joshua

Kama hutaki hizo ni Chuki binafsi sina Cha kukusaidia 🐼😂
TB Joshia Au Baba Halisi? Wa Tegeta Nambanga? Mimi najua alipokuwa mambo ya Ndani akaondolewa Huyo Baba Halisi wakati wa Ibada ya Alfajiri alianza kwa kiapo akasema

Kwa vile Mwigulu alisimama na kanisa hilo likiwa linapitia Mashitaka na hujuma na aliweza kushinda siku nzima pale Beach akasema hatoishia Jalalani, Hatukukaa sana Magufuli akamrejesha katiba na sheria, kisha Rais Samia alipoingia ndipo akamteua Fedha.
Hayo Ya Marehemu TB sina hakika zaidi maana ni yeye alimtabiria Lowasa kuwa Rais, mwaka 2015 na akamuhakikishia, sijui kwenye hayo maoni au utabiri alisahau Urais Hauletwi kwenye sahani kama Keki.☺️🥲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…