MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Wasalaam wana JF
Katika pita pita zangu huko kwenye mabaraza ya watu waovu ninaleta ushuhuda kwenu kwamba kuna PISI KALI na vipisi vikali.
Kuna wale wadada ambao wamekamilika kila idara yaani kabla ya muovu shetani kuja, wao ndiyo waliokua mpango wa Mungu, yaani muonekano alioukusudia Mungu.
Unakutana na mwanamke ana shape namba 8, hana tumbo, mweupe mwenye rangi ya mtume au mweusi mwenye rangi asili angavu, macho kama anakuita, ana nywele imesimama kama misumari, anaongea kama anataka kukojoa alafu ananukia vizuri kama maua ya jasmini. Mwisho kabisa hapigi mizinga wala hana shobo za kimatonya. Hawa ndiyo pisi kali.
Wengine ni wale ambao wanatumia muda mwingi kwenye vioo, kujipiga puti, wana sura za kuunga-unga shape za ku-boost na vigodoro, wana nywele kama ma-zombies, wana harufu kali kama maiti, wanapaka perfumes cheap kama dawa za mbu, hawa ni full kuomba omba, wana shobo za kimatonya, wana ji-forge na vizungu vya ugoko, full kujifanya wao wanakunywa Savannah, JD au Hennessy. Hawa ndiyo wanaitwa vipisi-vikali.
Wengine waliobakia ni sungura tope.
Tutafika kwa Mungu tukiwa tumechoka sana!