Kuna pisi-kali na vipisi-vikali

Vipisi vikali wengi wao ni vin'gan'ganizi sana yani umechoka mahusiano ila lenyewe linakukomalia, hawanaga soko.
 
Unachagua mwanamke kama unachagua nyanya ndugu yangu
 
Umemaliza kaka yaani top uniangushagi kabisa kwa comment zako[emoji1787][emoji106]
 
Yes. Kwa mfano mimi napenda kashotii, kawe keusi kabongebonge kama simtank halafu kawe kamejazia uwani basi hapo huniambii kitu. Hiyo ndio pisi kali kwangu. Hao namba nane kaeni nao wenyewe.
 
Mwambie tu huyo wakwako jinsi ulivyo choka mahusiano yenu, uzuri wa mwanamke wakati mwingine ni matunzo mkuu hujawahi ona mtu anaoa binti wakawaida tu lakini akipa matunzo mafisi yanaanza kukodoa mimacho[emoji102][emoji102][emoji102]
 
Umeshnda mama
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…