prophet_tz
Senior Member
- Feb 14, 2022
- 176
- 302
Je kuna ukweli wowote juu ya hili pale Serena kuna kinywaji cha bei ghali lakini kwenye hili naona mshkaji kanifunga kamba, eti Serena kinywaji hiki kinauzwa 15m ... kwani kina nini haswa cha ajabu?
Kuna mda nawaza labda nikinywa hii ntalewa milele [emoji23][emoji23][emoji23] Au mtasema kwasababu sina pesa ndomana nasema hivi.... lakini hata kama una pesa nyingi kiasigani ndo ununue hiyo pombe kwa 15m?
Eb walevi na wanywaji nipeni uzoefu wenu maana isije ikawa hii ni kamba [emoji848] au na nyie hizi bei ni zakawaida sana