prophet_tz
Senior Member
- Feb 14, 2022
- 176
- 302
Unamanisha wajinga ndio waliwao au tumia pesa ikizoeeAkili mtu wangu
Hiyo bei ilikuwa kabla ya vita ya Russia na Ukraine haijaanza, sasa hivi bila Milioni 25 hutoboiJe kuna ukweli wowote juu ya hili pale Serena kuna kinywaji cha bei gali lakini kwenye hili naona mshakaji kanifunga kamba eti Serena kinywaji hiki kinauzwa 15m ... kwani kina nini haswa cha ajabu? Au mtasema kwasabu sina pesa ndomana nasema ivi .... povu ruksa View attachment 2175910
Serena ni noma, jamaa yangu aliagiza mishikaki minne, chips na dafu, bili ikaja milioni nane, ikabidi aache prado lake la kichaga akatafute hela maana alikuwa na laki mbili tu mfukoni.Je kuna ukweli wowote juu ya hili pale Serena kuna kinywaji cha bei gali lakini kwenye hili naona mshakaji kanifunga kamba eti Serena kinywaji hiki kinauzwa 15m ... kwani kina nini haswa cha ajabu? Au mtasema kwasabu sina pesa ndomana nasema ivi .... povu ruksa View attachment 2175910
Msilete bhabari za uswahilini jamani what's so special with serena tumekaa nje tunajua hoteli za aina hii sio serena. Kwa ukanda wa africa ni pretoria luanda angola na kenya labda ndio utakutana na hizi bei.Serena ni noma, jamaa yangu aliagiza mishikaki minne, chips na dafu, bili ikaja milioni nane, ikabidi aache prado lake la kichaga akatafute hela maana alikuwa na laki mbili tu mfukoni.
CC Mtambuzi
Sasa unataka tubishane?Msilete bhabari za uswahilini jamani what's so special with serena tumekaa nje tunajua hoteli za aina hii sio serena. Kwa ukanda wa africa ni pretoria luanda angola na kenya labda ndio utakutana na hizi bei.
Haitatokea mimi nawewe ni damdam malafyale ungamflasya umnino ila huyo jamaa alikupiga kamba.Sasa unataka tubishane?