princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Si kweli, the most expensive hotel in Tz ni Serengeti Bilila Lodge ( Four seasons ambapo ni $12000 per night tena ni presidential suite (Mil.24 by 2016 nilipolala) Nyagi ni laki 7 soda elf 80! Sio serena buffet ni 60..au Hyatt wali 30 acheni fikra za kimasikiniJe kuna ukweli wowote juu ya hili pale Serena kuna kinywaji cha bei gali lakini kwenye hili naona mshakaji kanifunga kamba eti Serena kinywaji hiki kinauzwa 15m ... kwani kina nini haswa cha ajabu? Au mtasema kwasabu sina pesa ndomana nasema ivi .... povu ruksa View attachment 2175910
Na hiyo ni ya moto, ikitoka kwenye fridge ni Milioni 30Hiyo bei ilikuwa kabla ya vita ya Russia na Ukraine haijaanza, sasa hivi bila Milioni 25 hutoboi
If you can't make it then fake it. Chinese proverb.😄😄Si kweli, the most expensive hotel in Tz ni Serengeti Bilila Lodge ( Four seasons ambapo ni $12000 per night tena ni presidential suite (Mil.24 by 2016 nilipolala) Nyagi ni laki 7 soda elf 80! Sio serena buffet ni 60..au Hyatt wali 30 acheni fikra za kimasikini
Hivi Million 24 unaichukuliaje mkuu?Si kweli, the most expensive hotel in Tz ni Serengeti Bilila Lodge ( Four seasons ambapo ni $12000 per night tena ni presidential suite (Mil.24 by 2016 nilipolala) Nyagi ni laki 7 soda elf 80! Sio serena buffet ni 60..au Hyatt wali 30 acheni fikra za kimasikini
Zaidi ya fuvu mbona hamtuambii jina la pombe hoyo ili tutafute ukweli.Sasa unataka tubishane?
Here’s a quick recap of the 20 most expensive alcoholic drinks in the world (Google,2022):Hivi Million 24 unaichukuliaje mkuu?
Namshukuru Mungu nlishawahi kunywa moja wapo NB:kunywa sio kununua ila they have a great test kuliko hizo mataputapu zingineHere’s a quick recap of the 20 most expensive alcoholic drinks in the world (Google,2022):
- Billionaire Vodka – $3.7 Million
- Tequila Ley .925 – $3.5 Million
- Henri IV Dudognon Heritage Cognac Grande Champagne – $2 Million
- Russo-Baltique Vodka – $1.35 Million
- Diva Vodka – $1 Million
- Mendis Coconut Brandy VS – $1 Million
- Macallan 64 Year Old In Lalique – $625,000
- 1945 Romanee-Conti Wine – $558,000
- Armand de Brignac Midas – $265,000
- Dalmore 62 – $215,000
- The Sapphire Revelation By Bombay – $200,000
- Penfold Ampoule – $170,000
- The Black Pearl Louis XIII Anniversary Edition By Remy Martin – $165,000
- Diamond Jubilee By Johnnie Walker – $165,000
- Chateau D’Yquem – $130,000
- The Ruby Rose Cocktail – $40,000
- Legacy By Angostura – $25,000
- The Diamond Is Forever Martini – $18,000
- The Winston Cocktail – $12,790 per glass
- Salvatore’s Legacy – $8,316
Achana nayo, huezi elewaAkili mtu wangu
Huwezi elewa...achana nayoUna manisha wajinga ndio waliwao au tumia pesa ikizoee
Tafuta hela utakuja kuelewa tu 😂Ukinywa unalewa milele?
Zà k veve zinanitosha.Tafuta hela utakuja kuelewa tu 😂
TZS 4,000.00Kwani soda pale Serena bei gani? Tuanzie hapa kama reference.
Kuna watu ni wabishi tu kiasili xo milango yakusema nime mwachia waziunaposema povu ruksa unakuwa umejua umeandika uongo au vipi ?