Jamani Mambo vp. Kuna project nahitaji kuanzisha ambayo itahusisha sana sana watu wa vijijini. Hii project ni lengo ya kutoa elimu kwa watu wa vijijini especially kwa wanafunzi wa shule za vijijini. Sasa kwa sababu ndo kwanza naanza na sielewi wapi pa kuanzia nilikuwa nahitaji elimu ya kuanzisha mradi wowote wa kielimu hapa nchini. Je kuna hatua zozote za kufata au kibali chochote kinahitajika? Nauliza hivi nahitaji kuelewa kabla ya kuanza kufanyia kazi hii project. AHSANTENI