Anita Baby
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 1,265
- 540
hapo inabidi mke awe mke na mama awe mama.....
Mama asiingilie maisha ya ndani ya mwanae na mkewe......
Na mke ampende mama mkwe na kumchukulia kama mzazi, kumoa huduma inayostahili........
Ila mama akiact kama nyumba yake na mke akitzka kutake control ya nyumba yake hapo matatizo huanza...........
Mke akiwamchoyo na kutomjali mama mkwe napo matatizo huanza......
Umeona eeh? unajua wanawake ukiwajulia bana ni viumbe watam sana. Nashangaa watu wanalalamika lalamika tu kama serikali ya uganda. Huyu waifu wa jirani apa anavaliana mpaka sidiria na mamkwe wake na wanazifua kwa zamu. Chezeya waifu wa jirani weweklorokwini loya my loya nimeku pm.. mie mamayako naendelea kuishi nae.
hadi kanga tunavaliana na sokoni tunashikana mikono.
Kuoa kazi kwel kwel. Et m2 anikatalie kuish na mama angu! Bora nimwache yeye nikaish na mama.
Umeona eeh? unajua wanawake ukiwajulia bana ni viumbe watam sana. Nashangaa watu wanalalamika lalamika tu kama serikali ya uganda. Huyu waifu wa jirani apa anavaliana mpaka sidiria na mamkwe wake na wanazifua kwa zamu. Chezeya waifu wa jirani wewe
hehehe hauhitaji visponji, nitafanya ile natural busta niviongeze ongeze , nakusubiria na boxer tu apa. nyambaaf zanguKaaah! na mimi leo naenda kuongea na mama Kloro, viziwa vyangu vidogo,
nitavaa zake na kuweka visponji kwa ndani. kudumisha upendo.
sikubali waifu wa jirani afunike. itakua chezeya Ero!?
hehehe hauhitaji visponji, nitafanya ile natural busta niviongeze ongeze , nakusubiria na boxer tu apa. nyambaaf zangu
heheeh Weka mwaah nyengine, Lizzy na king'asti waichukie duniateh teh teh. chezeya Kloro?!! Mwaaaaaaaah.
hehehe hauhitaji visponji, nitafanya ile natural busta niviongeze ongeze , nakusubiria na boxer tu apa. nyambaaf zangu
hili swala la mama mkwe naona siku hizi linaanza kuwa janga la kitaifa.....
Mwaaaaah. Mwaaaaah. Mwaaaaah. loya Kloro my loya. Kuna lingine unataka?
hehehe Una ushauri gani kwa mama mkwe wa waifu wa fazaa?ha ha ha ha @ klorokwini, umedata hata mirembe hawakuchukui kamwe bora tumia mitishamba.
heheh meseji sent .
Lingine tutajadili chumbani, apa wavimba macho wataturipoti kwa mods na mawivu yao ya kizaire
Sasa kwanini haukuripoti kwangu walipokuban? wakikuzingua nistue. Faza wangu ana share maikrosoft office. Halaf leo nina mzuka wa kuPM kwa kitaliano tu. Kaa na dikshineri kabisawatajibeba. mods wenyewe hawa washamba tu wala sio waelewa. walini ban kwa uonevu.
labda tu ile ID yako ya umod ninayoipendaga. twenzetu pm.
Sasa kwanini haukuripoti kwangu walipokuban? wakikuzingua nistue. Faza wangu ana share maikrosoft office. Halaf leo nina mzuka wa kuPM kwa kitaliano tu. Kaa na dikshineri kabisa
ila mama mkwe kukaa na mkwe wake inaletaga matatizo sana labda wawe wanaelewana sana na huyo mkeo ndio itawork out la sivo itakua kosovo na nato daily
Tayari nimeliweka webcam apa, unaambiwa kapita nzi tu kwenye webcam basi mjombaake kloro kasimama yeye kule sehem za hatariniliwaonea huruma. wana hela za kuokoa jahazi wale? sidhani!
kwenye pm chagua option ya web cam, hata ukiongea kichina nitaelewa
vitendo vyote ulivoonesha. come this way papito raha tujipe wenyewe.