Kuna Raha zaidi ya hii???!!!

unaelekea kubaya sana ndg yangu, Kubafu!!
 
Ngoja niweke mambo hadharani sasa hivi mbona hamjaniuliza huko toilet nilienda kudu wat??!!
Naona wote mawazo yenu yameenda sehemu moja 2!!!
U HAVE 2 THINK IN 3 DIMENSIONS kabla hamjajibu!!!

unaelekea kubaya sana ndg yangu, Kubafu!!
 
kumbe mambo kama haya yanaruhusiwa huku eeh, mi mgeni jamani.
 
Kuna post zingine zinahitaji Jukwaa lake Na Forum zake pia. Here izi noti ze raiti plesi.
 
Heeeeeeee!Huyu jamaa kwa kupenda vitu vibaya simpatii picha hapa sasa ndiyo ananithibitishia!?
 
Utasikia mtu akimshukuru Mungu tena mbele ya waumini kanisani kwa kupata lift au kutodaiwa nauli ya daladala Usimuone njinga au kapungukiwa alikua kwenye hali mbaya!! Raha muulize mwenye shida :hungry: Huyu mwenzetu Eng nampa pongezi kwa kupata raha.... mtu anaye shughulika na matatizo ya watu (afya) amemuelewa vizuri mkandalasi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…