Kuna Rais anayependwa duniani kama Kim Jong Un? Hata Magufuli hakumfikia

Kuna Rais anayependwa duniani kama Kim Jong Un? Hata Magufuli hakumfikia

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Kuna Rais anapendwa duniani kuliko huyu? Amepata ushindi wa asilimia 100 kwenye majimbo yote nchini kwake.

Hata Magufuli hakufikia kupendwa hivi.

Screenshot_20240207-100655.png
 
Milivyosema hapo awali kuwa nitatoa Maoni yangu juu ya hili, hivyo nimewiwa niseme ya moyoni bila kusita kwakuwa kiukweli inavutia na kupendeza. Uhalisia wa hili ni kuona wengine nao wanasemaje Ili Mimi binafsi niseme na nitasema, ila kiuhalisia tuungane kweli hili, hivyo niseme namalizia Kwa kuunga mkono hoja!
 
Inawezekana kapata hizo asilimia kweli kwa sababu mtu anaweza kujifanya kupiga kura ya hapana akagundulika akaishia kunyongwa sasa watu wameona bora yaishe kila mtu anapiga kura ya ndiyo basi.
 
Wenzetu wanapenda kazi tu. siyo propaganda, chama wala jina la mgombea.
Nchi ikinyoooka raia wanaelewa show labda uruhusu uchonganishi wa kimagharibi kama Libya, na pale DPRK mzungu/mmarekani hatii pua yake.
Safi sana.
 
Hayo mambo ya demokrasia yalianza lin? Unajua maana ya demokrasia?

Ulisoma shule wapi?
Wewe unawabishia wananchi wa Korea kwa nchi yao sio ya Demokrasia ndio unatakiwa ueleze sio ya kidemokrasia kivip?
 
Wenzetu wanapenda kazi tu. siyo propaganda, chama wala jina la mgombea.
Nchi ikinyoooka raia wanaelewa show labda uruhusu uchonganishi wa kimagharibi kama Libya, na pale DPRK mzungu/mmarekani hatii pua yake.
Safi sana.
Samia nae anatakiwa kufanya hivi
 
Ni rahisi panya kumfunga paka kengele na kumchezea panya sharubu lakini si kupiga kula ya hapana kwa mwamba huyu.
 
Back
Top Bottom