Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
North Korea mbona nayo ni nchi ya Demokrasia?Ngoja waje wazee wa upinde AkA democracy
Wazee wa upinde wamezoe kupata tafsiri ya Demokrasia kutoka kwa mabeberu wa USANorth Korea mbona nayo ni nchi ya Demokrasia?
Jina lake kwa kirefu ni Democratic Peoples Republic of Korea (DPRK)
Kwani tafsiri ya demokrasia unayoijua wewe ni ipi?Wazee wa upinde wamezoe kupata tafsiri ya Demokrasia kutoka kwa mabeberu wa USA
Kweny maandishiNorth Korea mbona nayo ni nchi ya Demokrasia?
Jina lake kwa rasmi ni Democratic Peoples Republic of Korea (DPRK)
View attachment 2896752
Wewe na wananchi wa Korea nani anaijua zaidi nchi yao?Kweny maandishi
Hayo mambo ya demokrasia yalianza lin? Unajua maana ya demokrasia?Wewe na wananchi wa Korea nani anaijua zaidi nchi yao?
Mimi sifahamu maana ya demokrasiaKwani tafsiri ya demokrasia unayoijua wewe ni ipi?
Wewe unawabishia wananchi wa Korea kwa nchi yao sio ya Demokrasia ndio unatakiwa ueleze sio ya kidemokrasia kivip?Hayo mambo ya demokrasia yalianza lin? Unajua maana ya demokrasia?
Ulisoma shule wapi?
Samia nae anatakiwa kufanya hiviWenzetu wanapenda kazi tu. siyo propaganda, chama wala jina la mgombea.
Nchi ikinyoooka raia wanaelewa show labda uruhusu uchonganishi wa kimagharibi kama Libya, na pale DPRK mzungu/mmarekani hatii pua yake.
Safi sana.
Hata hilo wazo hana, anawaza Vyombo vya usalama tu na Propaganda za makonda zimpakate kuelekea ikulu.Samia nae anatakiwa kufanya hivi
asa huyo ukipiga kura chama kingine si anakuua...Kuna Rais anapendwa duniani kuliko huyu? Amepata ushindi wa asilimia 100 kwenye majimbo yote nchini kwake.
Hata Magufuli hakufikia kupendwa hivi.