Kuna Rais Yeyote Aliyetoa Pongezi Juu Ya Maamuzi Ya Mahakama Nchini Kenya????

Kama nyumba zinabomolewa hapo kimara na inasemekana hakuwa na taarifa unategemea atakuwa na taarifa za yanayotokea nje ya mipaka?
 
Watanzania tujifunze kujikita kwenye mambo yetu wenyewe, we should stop this nonsense to sticking our nose everywhere. Mambo ya Kenya ni ya Wakenya.


Kuna rais wa Kenya alisema tz kuna maiti zinazotembea. Sitaki kuwaza ivo, ila je mchango wako unamlenga nani apo juu maana hakuna kokote mchangiaji ameandika Tanzania, na ujue hata Kenya wako jf. Huu ni ukiazi . Hata ivo kujifungia Tanzania ni ushamba maana hata kwa legal friends lazma hii ya Kenya ni precedent kwa couple of years. Wee ndio ujifungie tz kwa kuwa upeo wako unahishia mpakani
 
Watanzania tujifunze kujikita kwenye mambo yetu wenyewe, we should stop this nonsense to sticking our nose everywhere. Mambo ya Kenya ni ya Wakenya.

kujifunza hakuna mipaka ukajifunxie wapi na mwenzako akifanya jambo jema ni vema na haki kumpongeza ndio utamaduni wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…