Kuna right za gari aina ya Hyundai?

Kuna right za gari aina ya Hyundai?

Waragah

Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
26
Reaction score
16
Naomba kujua undani wa hii gari nilizobahatika kuziona mtandao nyingi ni left naomba kujua kama na right zake.

IMG_5675.jpg

IMG_5676.jpg

Na pia kuhusu stability yake ikoje.
 
Kama unaishi dar,mwanza, Arusha kidogo Moro nunua kama haupo hii mikoa nunua Kwa risk yako
 
Back
Top Bottom