Northpal JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 329 Reaction score 295 Sep 28, 2015 #1 Mm nauliza kwa mnaofahamu Je mwajiriwa wa selikari anaweza kuomba kusimama kazi kwa angalau mwaka 12. Kisha akarudi Tena kazini?
Mm nauliza kwa mnaofahamu Je mwajiriwa wa selikari anaweza kuomba kusimama kazi kwa angalau mwaka 12. Kisha akarudi Tena kazini?
Z ZeMarcopolo Platinum Member Joined May 11, 2008 Posts 14,040 Reaction score 7,303 Sep 28, 2015 #2 Yes. Inaitwa likizo bila malipo.