Kuna sababu gani serikali kuzuia Valentine day

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Wakuu naomba mnijibu hivi kwa nini serikali haitaki watu mwaka huu waadhimishe siku ya wapendanao?
 
Au kwa sababu kesi ya Mh. Tandu Lussu itasikilizwa siku ya Valentine day
 
Mkuu sisi wengine wazazi wetu wapo ngazi za juu serikalini so kitu kabla hakijawa officially announced tunakuwa tushakijua tayali
kwani valentine day ni sikukuu ya kiserikali?????
 
Sijui sasa hivi tutakuja na slogan gani maana ya mwaka jana ilikuwa "maua pelekea nyukiiiiii" nahisi ya mwaka huu itakuwa HAPA KAZI TU
 
Mkuu sisi wengine wazazi wetu wapo ngazi za juu serikalini so kitu kabla hakijawa officially announced tunakuwa tushakijua tayali
Mkuu kama kweli wazazi wapo ngazi za juu serikalini, nina imani kubwa walikuambia pia sababu ya kuzuia. So haukuwa na haja ya kuna hapa kuuliza
 
Ikiwa ni kweli basi kwa mara ya Kwanza nitaipongeza serikali kwa jambo hili, valentine day ni moja ya upuuzi wa kitumwa ambao kizazi kinarithi bila kuelewa unatoka wapi
 
Mkuu sisi wengine wazazi wetu wapo ngazi za juu serikalini so kitu kabla hakijawa officially announced tunakuwa tushakijua tayali
non sense,hiyo siyo ckukuu ya kitaifa achen ubwege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…