Sasa kama wazazi wapo ngazi za juu si wakupe na sababu pia au na wenyewe weupe tuMkuu sisi wengine wazazi wetu wapo ngazi za juu serikalini so kitu kabla hakijawa officially announced tunakuwa tushakijua tayali
Kwani huwa ni siku ya mapumziko?Wakuu naomba mnijibu hivi kwa nini serikali haitaki watu mwaka huu waadhimishe siku ya wapendanao?
Stupid boy which high position are your parents holding?Mkuu sisi wengine wazazi wetu wapo ngazi za juu serikalini so kitu kabla hakijawa officially announced tunakuwa tushakijua tayali
Kwa vile watu kama wewe mnasumbua wake za watuWakuu naomba mnijibu hivi kwa nini serikali haitaki watu mwaka huu waadhimishe siku ya wapendanao?
Sasa si ulevi huu,, kwa hiyo wazazi wako wakitoka kwenye vikao vya maamuzi ya kiserikali wakirudi nyumbani usiku wanaitisha tena vikao vya kifamilia kuwajulisha maamuzi ya Serikali,,Mkuu sisi wengine wazazi wetu wapo ngazi za juu serikalini so kitu kabla hakijawa officially announced tunakuwa tushakijua tayali