Kuna sababu ya msingi heslb kuwanyima watumishi mkopo?

Kuna sababu ya msingi heslb kuwanyima watumishi mkopo?

FEAFAMILYGUY

Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
11
Reaction score
1
Kwa mawazo yangu ninadhani mikopo ingetolewa kwa woote wenye sifa bila kujali yupo kazini au la.Kwa mfano mwl kipato chake hakimwezeshi kulipia chuo cha private lakini pia izingatiwe yupo kazini hivo kumpata kurejesha ni rahisi kuliko yule ambae akimaliza chuo ndo akipata ajira ndipo makato yafanyike.Waungwana naomba nieleweke kuwa sikatai freshers kupewa mkopo but hata waajiriwa,hasa idara zile ambazo ni lowly paid.Ama sivyo TCU ingezingatia hilo,waajiriwa wote, kama wataweza wapangwe vyuo vya serikali ili waweze kulipia hata wenyewe.​
 
Back
Top Bottom