Michael Mlay Member Joined Aug 24, 2022 Posts 57 Reaction score 84 Oct 1, 2023 #1 Habari za sahizi Naishi Dodoma Chang'ombe, kaka angu kafungua salon anatafuta KINYOZI kama yupo mwenye ujuzi huo anicheki
Habari za sahizi Naishi Dodoma Chang'ombe, kaka angu kafungua salon anatafuta KINYOZI kama yupo mwenye ujuzi huo anicheki
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 7,828 Reaction score 10,527 Oct 1, 2023 #2 Kila heri, ila vinyozi DODOMA ni changamoto kubwa !
herio JF-Expert Member Joined Jan 1, 2021 Posts 2,245 Reaction score 4,320 Oct 2, 2023 #3 Niliwahi kufungua saluni tatizo mnyoaji anaringa Sana na mauzo anabana nkaamua kufunga nikaendelea na biashara ninazofanya mimi
Niliwahi kufungua saluni tatizo mnyoaji anaringa Sana na mauzo anabana nkaamua kufunga nikaendelea na biashara ninazofanya mimi