Kuna sehemu ukikutana na mtu fanya kama hujamuona

Aldonae

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
598
Reaction score
394
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Salamu kibaaaaooo kama huna namba yangu vileeeeee.
Mara oooh,kumbe na wewe unakujaga mitaa yetu.
Achen hizo bhanaaaa.
 
Hizo itakua sehem za dada zetu poa zile kimboka n.k[emoji3][emoji3][emoji3]
 
ukipita sehemu karibu na me napokula lazima nkimbilie jikoni
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kumbe swahiba ni wewe,nilikusalimia wakati unaingia nyumba za wenyeji
 
🙄kwa nanvo penda salam cjui...??
Ujambo,Habari gani?
nzuri,nzuri sana ndi wa Taifa mkuu
 
Sisi sote ni Wajamaa.

Wajamaa hatutupani Mkono.

Ujamaa udumu...udumu kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…