Kuna Sheria Inayosimamia Upatikanaji wa Nakala za Hukumu kwa Wananchi Wote?

Kuna Sheria Inayosimamia Upatikanaji wa Nakala za Hukumu kwa Wananchi Wote?

ChamaDola

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2016
Posts
3,431
Reaction score
2,804
Wakuu,
Hivi kuna sheria/utaratibu au mfumo wa Mahakama zetu kutoa nakala za hukumu mbalimbali kwa wananchi iwapo wataonyesha kuziitaji?
Kama ndiyo,kuna ada yeyote inayolipwa kwa karani ili kuzipata?
Asanteni!
 
Back
Top Bottom