Kuna sheria kua ukibadili paa la bati lazima utoe taarifa?

Kama nimemsoma vizuri mleta mada ni kwamba katoa bati za "kibongo" kaweka za "msouth" the same roofing materilas.

Manispaa watajiridhisha vipi kama hakutakuwa na mabadiliko bila ya kuhusishwa kabla.. call it sheria mbaya au nzuri ndo ilivyo..
 
wangekuwa wamebomoa boma sawa. lakini paa?. nahata hivyo serikali ya mtaa haiusiki

Paa tu mkuu tena ni bati tu ndio wamebadilisha baada ya kuvujiwa sana sasa wameona nongwa wamepewa barua
 
jamani haya mambo yapo ila dar labda kwa viwanja vilivyopimwa ila uswahilini kwetu hivyo vitu kutaftana ubaya tu!
 
Kama nimemsoma vizuri mleta mada ni kwamba katoa bati za "kibongo" kaweka za "msouth" the same roofing materilas.

Ahsante kwa kunielewa mkuu
Nchi ngumu sana hii yaani kubadili bati tu tena bati baada yakua zimeoaza na kuvuja sana wakabadili basi imekua shida lolz
 
jamani haya mambo yapo ila dar labda kwa viwanja vilivyopimwa ila uswahilini kwetu hivyo vitu kutaftana ubaya tu!

Mkuu sheria ina-apply mpaka uswahili.. wana uwezo wa kuzuia ujenzi kokote.. sema tuu kibongobongo wa2 wanaipotezea..
 
Unapo design jengo unaconsider weight of the roof na hii inatokana na material inayotumika.
kwa mfano leo mtu mchoro wake unaonyesha utakuwa ni paa la kawaida lenye bati na na kibali kinatolewa hivyo.Haiwezekana kesho ukabadilisha roof ukasema itakuwa ni ya zege.kwa kukwepa hili mamlaka husika wanakutaka uombe kibali ili wajiridhishe kama hakuta kuwa na tatizo.refer majengo ya Kariakoo yaliyobomoka
 
jamani haya mambo yapo ila dar labda kwa viwanja vilivyopimwa ila uswahilini kwetu hivyo vitu kutaftana ubaya tu!

Umeona eeh? Yaani waswahili ukipata tu basi imekua nongwa ila wakati wanavujiwa hawakupewa msaada kutoka kwahio serikali yao kua chukueni bati hizi msivujiwe
 
Umeona eeh? Yaani waswahili ukipata tu basi imekua nongwa ila wakati wanavujiwa hawakupewa msaada kutoka kwahio serikali yao kua chukueni bati hizi msivujiwe
nimekuuliza michoro ya awali mliomba kibali manispaa
 
Umesomeka mkuu
 
nimekuuliza michoro ya awali mliomba kibali manispaa

Mkuu sio nyumba mpya kusema ilijengwa jana au juzi ni kuu kuu nabati zilishaoza although ilishapimwa miaka mingi sana ilopita
 
Rushwa tuu wanataka hao yapaswa ukiwapa wakupe na engineer wa kuisimamia kazi yako
 
sosoliso huyu bwana anasema katoa bati linalovuja na kaweka ambalo halivuji. Tunazungumzia bati siyo paa.
 
Last edited by a moderator:

Kuwa muelewa. hajasema kabadili ramani ya nyumba bali kabadili bati. kumbika hata ktk ramani hawaandiki utumie bati za kampuni furani, bati ni bati chaguo ni lako, Simba dumu, Kiboko, Utamu,Maisasha, Tembo, Msauzi yote ni mabati.
 
Mkuu pokea bonge la LIKE.......yaani umenielewa vizuri sana
Hii nchi ngumu sana Aisee.....Nashukuru kwa kunielewa!!!!!!!!
 
Kuwa muelewa. hajasema kabadili ramani ya nyumba bali kabadili bati. kumbika hata ktk ramani hawaandiki utumie bati za kampuni furani, bati ni bati chaguo ni lako, Simba dumu, Kiboko, Utamu,Maisasha, Tembo, Msauzi yote ni mabati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…