Dr. Chapa Kiuno
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 443
- 18
Lakini hii inapotea kabisa Dsm kwa sababu ya shida ya usafiri,na vilevile imewafanya wanafunzi kuwa na kiburi sana na wagomvi kitu ambacho kinawafanya abiriawakati mwingine wasiwatee pale ambapo makonda wanawanyanyasa
Hakuna sheria ndugu yangu inayosema mwanafunzi akae au asimame kwasababu sheria ya usalama barabarani hairuhusu abiria kusimama, so mwanafunzi anapopanda basi ni abiria.. kusimama kwa mwanafunzi ni heshima tu kwa mtu alie kuzidi umri hii ni kutokana na malezi yetu ya kiafrika.