Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mimi sio mwanasheria ila sidhani kama unaweza kumfungulia mtu kesi kwa kosa la kusema Mungu anaweza kuchukua maisha ya mtu fulani.
Kwa mfano,nikisema hadharani, "Mungu chukua maisha ya mtu fulani", utatumia sheria ipi kunishitaki?
Halikadhalika,sidhani kama unaweza kwenda Mahakamani ukafungua kesi eti fulani amemloga mwanangu,n.k.
Wanasheria,katika nchi hii tuna sheria zinazomtaja na kumtambua Mungu pamoja na mamlaka yake?
Wanasheria mtusaidie.