Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hujui kinachoendelea hapa mtandaoni kuhusu matamshi ya Lema?Jibu ni kwamba hakuna sheria hiyo duniani kote..sasa swali linarudi kwako,je umewaza nini,au imekuwaje umeuliza swali kama hilo?
Atakuwa alitaka kuomba hadharani sala ya kumuomba Mungu atuondelee mtu fulani kwa kumuita kwake.Jibu ni kwamba hakuna sheria hiyo duniani kote..sasa swali linarudi kwako,je umewaza nini,au imekuwaje umeuliza swali kama hilo?
Najua ila nilitaka tu wewe uwe specifically,sio unarukaruka badala ya kuweka mambo hadharaniHujui kinachoendelea hapa mtandaoni kuhusu matamshi ya Lema?
Hizo ni ndoto za alinachaAtakuwa alitaka kuomba hadharani sala ya kumuomba Mungu atuondelee mtu fulani kwa kumuita kwake.
Hakuna kosa lolote aombe hiyo sala ila Mungu huita watu kwake kwa muda ule aliowapangia tangu ile siku mtu amezaliwa. Haombwi na binaadamu yoyote.
Pasco
uko pamoja na ray youngr nmeuliza tuuuu uspanic sasaHizo ni ndoto za alinacha
uko pamoja na ray youngr nmeuliza tuuuu uspanic sasaHizo ni ndoto za alinacha
Sijaelewa ulichoulizauko pamoja na ray youngr nmeuliza tuuuu uspanic sasa
Kama ni mimi naweza kukufungulia kesi ya kuudhalilisha uhai wangu na kunitia uchungu wa nafsi kwa kunisema habari ya mimi kufa.Mimi sio mwanasheria ila sidhani kama unaweza kumfungulia mtu kesi kwa kosa la kusema Mungu anaweza kuchukua maisha ya mtu fulani.
Kwa mfano,nikisema hadharani, "Mungu chukua maisha ya mtu fulani", utatumia sheria ipi kunishitaki?
Halikadhalika,sidhani kama unaweza kwenda Mahakamani ukafungua kesi eti fulani amemloga mwanangu,n.k.
Wanasheria,katika nchi hii tuna sheria zinazomtaja na kumtambua Mungu pamoja na mamlaka yake?
Wanasheria mtusaidie.
Lowassa alieitwa Marehemu ndio alipaswa kufungua kesi sio huyo mwinginemKama ni mimi naweza kukufungulia kesi ya kuudhalilisha uhai wangu na kunitia uchungu wa nafsi kwa kunisema habari ya mimi kufa.
Na yeye si kwa wakati bwana!Lowassa alieitwa Marehemu ndio alipaswa kufungua kesi sio huyo mwinginem
anamaanisha je nawewe ni mmoja wa mashoga kama rayyoungjr wa hapa jfSijaelewa ulichouliza
hakuna dunian kote mkuu? miez michache iliopita kuna mdau huko saudi arabia alihukumiwa kifungo cha miaka kumi jela na viboko vya kutosha kwa kusema kuwa haamini kama kuna MunguJibu ni kwamba hakuna sheria hiyo duniani kote..sasa swali linarudi kwako,je umewaza nini,au imekuwaje umeuliza swali kama hilo?
Kumbe we jamaa ni mweupe hivi? Sasa ndio umeandika nini?
Atakuwa alitaka kuomba hadharani sala ya kumuomba Mungu atuondelee mtu fulani kwa kumuita kwake.
Hakuna kosa lolote aombe hiyo sala ila Mungu huita watu kwake kwa muda ule aliowapangia tangu ile siku mtu amezaliwa. Haombwi na binaadamu yoyote.
Pasco