Kuna shida gani CRDB Bukoba?

Kuna shida gani CRDB Bukoba?

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Wakuu. nipo huku mkoa wa BUKOBA hakika nimesikitika kupata taarifa kutoka kwa wajasiriamali wa hapa juu ya benki hiyo tawi la Bukoba kusitisha utoaji mikopo na kufunga matawi yake yote ndani ya mji. tawi la Zamzam limefungwa na yale yote yaliyoko pemmbezoni mwa mji.

Wajasiriamali wanasema kuwa wanelezwa na maofisa wa benki kuwa kuna tatizo la ndani ya benki kwenye idara ya mikopo.

Wakati hayo yakijiri tuko katika maandalizi ya kongamano la kilimo chini ya benki hiyo CRDB na UDSM ambapo waziri wa kilimo Bashe na waziri mstaafu Pinda watashiriki.

CRDB wawe na majibu juu ya hili maana litaulizwa na wadau.

Nitarudi jijini na senene maana zimejaa tele hapa kwenye mji usio na stendi.

HAPA CHINI ni kutoka maktaba ya JF

CRDB kuna shida gani? Mnachelewesha sana kutoa mikopo

Tatizo la Ucheleweshwaji wa Mikopo Benki ya CRDB

 
Saidieni stand yenu iwe na standard ya majivuno yenu, mnaishia kula wadudu tu mnaowaita senene.
njooni tarime mle nyama
 
Kule serikali inachukuaga kodi tu mazee
 
Back
Top Bottom