Kuna shida gani endapo moyo utakalia kulia?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Swali la moja kwà moja kuna shida gani endapo moyo wa binadamu utakalia kulia badala ya kushoto? Nimekutana na hii kesi.
 
kikawaida sehemu kubwa ya moyo hukaa kushoto iyo ndio kawaida tofauti na hapo ilo ni tatizo moyo kukaa kulia ni tatizo tuu sawa na kukaa kwenye tumbo au mgongoni magotini kwa kifupi hiyo sio kawaida NI TATIZO.

huenda apo moyo unabanana na viungo vingine hata kupumua unakuta mtu hapumui kikawaida.
 
Acha ujinga jamiiforum kuna thread milioni moja na laki sita mi ntajuaje kama wakwangu umediskasiwa tayari? Mbaya zaidi hata kwenye kuuliza kwamba uzi huu umejadiliwa? Sijaona sasa mi ningefanyaje?
Umeiba uzi mkuu...inasikitisha kuona hauwezi kubuni cha kwako.
 
Swali la moja kwà moja kuna shida gani endapo moyo wa binadamu utakalia kulia badala ya kushoto? Nimekutana na hii kesi.
1: Inabidi kufanya alignment mpya ya uelekeo wa mishipa ya mikubwa ya damu toka kwenye miyo na kuingia kwenye moyo/greater vessels ili kutokubadili malengo yake na kuleta shida.

2: Upate nafasi ya kuuweza vizuri, maana huku kulia tayari kuna ini limechukua nafasi pia.

Hii ni ili vyote viweze kubaki na ufanisi au hamisha mpangilio maana lengo la kuupeleka kulia bado haliko wazi.
 
Acha ujinga jamiiforum kuna thread milioni moja na laki sita mi ntajuaje kama wakwangu umediskasiwa tayari? Mbaya zaidi hata kwenye kuuliza kwamba uzi huu umejadiliwa? Sijaona sasa mi ningefanyaje?
Unge google kwanza
 
Ku

Kuna binti yuko kidato cha tatu sasa ni mkubwa ila ndio ana hilo tatizo ila ni mwembamba sasa.
 
Vitu vingine itabidi vihamie upande mwingine pia...
 
Awali ya yote yatupasa kujua nani anapachika mioyo mwilini mwetu
 
Acha ujinga jamiiforum kuna thread milioni moja na laki sita mi ntajuaje kama wakwangu umediskasiwa tayari? Mbaya zaidi hata kwenye kuuliza kwamba uzi huu umejadiliwa? Sijaona sasa mi ningefanyaje?
Unge-search. Muombe huyo member alete link ya uzi wa awali. Ila ungeweka nyama zaid kwenye thread yako labda ingeonesha utofauti.
 
Moyo haupo kulia Wala kushoto upo katikati mkitaki sababu gan unadunda kushota nitawapa
 
Moyo kawaida upo katikati, lakini kinachofanya moyo uonekane upande wa kushoto ni kwa sababu upande wa kushoto kuna mshipa mkubwa unaosafirisha damu safi kwenda sehemu mbalimbali za mwili, hivyo mapigo( pressure) ni kubwa sana upande huo ndio maana ukijishika unaona kama unadundia kushoto na kuleta dhana kwamba upo kushoto,
 
Back
Top Bottom