mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Sasa unailaumu Pwani au Mbagala ?Nilikuwa pwani, Wilaya ya Mkuranga , nimetembea vijiji vingi Hadi Kijiji kinaitwa mwanzenga (nimeambiwa ni Kijiji Cha wasanii).
Kilichonishangaza ni maeneo mengi ya mkuranga ni potential sana Kwa ufugaji na ujenzi wa viwanda.
Kilichonichosha ni population ndogo na wenyeji wanaishi maisha magumu , na kutoka mwanzenga to mbagala sio mbali , watu wamerundamana mbagala halafu pembeni kidogo pana maeneo mazuri ya kuanzisha makazi, shida ni ipi watu hawataki kuhamia huko ?
Kabisa mkuuWakazi wengi ni makabila ya pwani kama vile wazaramo. Nafikkri unafahamu wazaramo walivyo wao ni ngoma tu kwenda mbele maendeleo wanasubiri wachaga, waha na wakinga waje waanze kuwatoa...
Watu wanafuata fursa lazima waende kweny fursa mzee ....Pwani wabongo hawana uwezo wa kufungua viwanda.Wakazi wengi ni makabila ya pwani kama vile wazaramo. Nafikkri unafahamu wazaramo walivyo wao ni ngoma tu kwenda mbele maendeleo wanasubiri wachaga, waha na wakinga waje waanze kuwatoa...
Rudia kusoma then soma mtoa mada ,akiwa na maana hao wamejazana huku Mbagala ...Watu wana mishe zake ukitaka kila mtu arudi mkoa wake hapo Dar hata watu million moja hawafiki...Mtu mishe zake zipo hapo kuna haja gani ya kukaaa huko pwani.Mkuu soma tena.
Haya masuala ya ukabila nchi hii yatakuja kuisha lini?Wakazi wengi ni makabila ya pwani kama vile wazaramo. Nafikkri unafahamu wazaramo walivyo wao ni ngoma tu kwenda mbele maendeleo wanasubiri wachaga, waha na wakinga waje waanze kuwatoa...
Ndo tatizo la wabongo.Haya masuala ya ukabila nchi hii yatakuja kuisha lini?
Biashara ni Karama ya mtu husika wala haina uhusiano na ukabila.
Mtoa mada acha kukariri.