Kuna shida kubwa kwenye NIDA Online Service

Kuna shida kubwa kwenye NIDA Online Service

iamRam

Member
Joined
Jul 9, 2018
Posts
6
Reaction score
7
Habari ndugu nimejaribu kufuatilia kitambulisho cha NIDA Kwa kutumia huu mfumo wa online niki click kitambulisho inaleta windows cjui madudu gani....why?

Screenshot_20240614-112827.png

Screenshot_20240614-112838.png
 
Mfumo wa e-NIDA umekuwa haupatikani kwa takriban wiki sasa. Huduma kama online application zimekuwa hazipatikani kwa wiki mbili sasa. Huduma ya "Fahamu NIDA Yako" nayo imeathiriwa, na wale waliosajiliwa kuanzia tarehe 01-06 bado namba zao zipo pending mpaka sasa, ikielekea wiki ya tatu.

kwaiyo endelea kusubiri pengine next week wataweka mambo sawa kama unavyojua huduma za gavo ni zipo slow ni kama IT hawajui kuwa kunashida iyo
 
Msaada nitumie application ipi ili niweze kujaza form ya nida online kwa sasa maana mfumo Utah ata kuregister.. account
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Back
Top Bottom