Starlink anakuja soon kwa mgongo wa Airtel.Turudi nyuma kuna kampuni ya volkswagen ilikuja tanzania kutaka kuwekeza ila kona kona nyingi na maono ya kisiasa yakaonesha kwenda nchi jirani ambayo rwanda.
Star link ambayo inatumia setelite zake kwa huduma ya internet nayo imebaki makaratasi wakati nchi zilizotuzunguka washapata vituo.
Nimetoa mifano miwili ila kuba mengi.
Tuje ambao wawekazaji wakubwa wanavyopingwa wazi wazi sio kwamba pale geita panashindwa kujengwa na kuwa sehemu bora ila mgodi ukitaka kuboresha wanaambiwa pesa hizo ziingie serikalini.
Nina mfano wa kutisha sanaTurudi nyuma kuna kampuni ya volkswagen ilikuja tanzania kutaka kuwekeza ila kona kona nyingi na maono ya kisiasa yakaonesha kwenda nchi jirani ambayo rwanda.
Star link ambayo inatumia setelite zake kwa huduma ya internet nayo imebaki makaratasi wakati nchi zilizotuzunguka washapata vituo.
Nimetoa mifano miwili ila kuba mengi.
Tuje ambao wawekazaji wakubwa wanavyopingwa wazi wazi sio kwamba pale geita panashindwa kujengwa na kuwa sehemu bora ila mgodi ukitaka kuboresha wanaambiwa pesa hizo ziingie serikalini.
Mkuu nchi imejaaa madalali wa kuongoza. Bila 10% ya hao wanaongoza hupewi kibali.Turudi nyuma kuna kampuni ya volkswagen ilikuja tanzania kutaka kuwekeza ila kona kona nyingi na maono ya kisiasa yakaonesha kwenda nchi jirani ambayo rwanda.