A
Anonymous
Guest
Kumekuwa na shida ya maji Wilaya ya Nachingwea kwa miezi minne sasa maji yanatoka kwa kusuasua wakati huohuo Mamlaka ya Maji (MANAWASA) haijatoa sababu za msingi za uwepo wa hali hiyo au wala hawajaeleza kuhusu uwepo wa mgao.
Hii shida huwa inajirudia kila Mwaka, mwaka huu kuna uhaba wa mvua, basi maji tunakosa kabisa na wengine wananunua maji ndoo kwa Shilingi 1,500 tena ya visima ambavyo sio salama.
Tuomba mamlaka husika watoe tamko kama maji yanayotoka huwa yanategemea mvua au vipi maana haya ni mateso.
Pia soma ~ MANAWASA yakiri Mji wa Nachingwea una changamoto ya upatikanaji huduma ya maji