A
Anonymous
Guest
Mtandao unakuwa mzito ukiwa Kiteto na kuna muda haupatikani kabisa ni kero kubwa kwa sisi tunaoitumia, pia Haloteli iweke huduma ya kurejesha miamala kama Mitandao mingine (Yas, Airtel na Vodacom) ili kuboresha huduma pale mteja anapokosea namba au jina ili Wakala azuie muamala.