BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu sikupata hiyo taarifa. Naomba namba yao kama unayoWalitoa taarifa, ..mfumo wa mita umebadilishwa , yawezekana taarifa hukuipata juu ya namna ya kuingiza token kwa mara ya kwanza kuanzia tarehe moja Juni, labda piga namba yao huduma kwa wateja watakupa maelekezo .
Ndugu kwani walitoa taarifa kuhusu mtandao au kuhusu mabadiliko ya token toka 20 kwenda 60?Walitoa taarifa, ..mfumo wa mita umebadilishwa , yawezekana taarifa hukuipata juu ya namna ya kuingiza token kwa mara ya kwanza kuanzia tarehe moja Juni, labda piga namba yao huduma kwa wateja watakupa maelekezo .
0748550000 Tanesco HQShukrani mkuu sikupata hiyo taarifa. Naomba namba yao kama unayo
Wakipokea niite Mbwa, niko pale!0748550000 Tanesco HQ
Inapokelewa sanaWakipokea niite Mbwa, niko pale!
I think hii kubadili mfumo ni kwa kanda ya ziwa na kanda ya magharibi. Sidhani kama ni tanzania nzma.Walitoa taarifa, ..mfumo wa mita umebadilishwa , yawezekana taarifa hukuipata juu ya namna ya kuingiza token kwa mara ya kwanza kuanzia tarehe moja Juni, labda piga namba yao huduma kwa wateja watakupa maelekezo .
Nimefuatilia kweli wamebadìli mfumo na wameanza na kanda ya ziwa ila cha ajabu ni kwamba nimenunua umeme ila wamenipa token ya kundi moja la tarakimu 20 tu. Nimejaribu kuwacheki whats app nimechatishwa na chatbot mwisho wa siku haijanisaidia. Ngoja niwapigie nisikieWalitoa taarifa, ..mfumo wa mita umebadilishwa , yawezekana taarifa hukuipata juu ya namna ya kuingiza token kwa mara ya kwanza kuanzia tarehe moja Juni, labda piga namba yao huduma kwa wateja watakupa maelekezo .
Piga simu japo utapigiwa wimbo wa harmonize kwa muda mrefu ila wanapokea. Mimi nilifunga umeme nyumba mpya nikanunua umeme halhams ukawa unagoma kuingia nikawapigia wakanipa toke za kundi mbili ijumaa yani kila kundi ina namba 20 jumla arobaini kundi la pili lilikosewa. Nikawapigia tena jumatatu wakanipa upya. So wanapokea kusema ahwapokei ni uongo. piga simuNimefuatilia kweli wamebadìli mfumo na wameanza na kanda ya ziwa ila cha ajabu ni kwamba nimenunua umeme ila wamenipa token ya kundi moja la tarakimu 20 tu. Nimejaribu kuwacheki whats app nimechatishwa na chatbot mwisho wa siku haijanisaidia. Ngoja niwapigie nisikie