Elections 2010 Kuna shinikizo la CCM kuhesabu kura baadhi ya sehemu

Binti Maria

Senior Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
158
Reaction score
33
Kuna taarifa za uhakika kwamba kule walikoshindwa, CCM wanataka uhesabuje kura urudiwe. Huko Karagwe Mkuu wa Mkoa ameagiza na anajarbu kushinikiza kwamba kura zihesabiwa upya. Vivyo hivyo Nyamagana, Ilemela, Arusha Mjini, etc. Kitakachotokea kama CHADEMA watakubali hili ni kwamba jamaa watatumbukiza makura yao na ndio utakuwa mwanzo na hitimisho la uchakachauji. Huku sio kutengeneza mgogoro kweli??!!
 
Kura zinahesabiwaje upya wakati kila kitu kimemalizikia vituoni? Huo mchezo CHADEMA wasiukubali hata kidogo.
 
Hayo yangewezekana miaka ilee ya nyuma, si leo
 
Kuna taarifa za uhakika kwamba kule walikoshindwa, CCM wanataka uhesabuje kura urudiwe. Huko Karagwe Mkuu wa Mkoa ameagiza na anajarbu kushinikiza kwamba kura zihesabiwa upya. Vivyo hivyo Nyamagana, Ilemela, Arusha Mjini, etc. Kitakachotokea kama CHADEMA watakubali hili ni kwamba jamaa watatumbukiza makura yao na ndio utakuwa mwanzo na hitimisho la uchakachauji. Huku sio kutengeneza mgogoro kweli??!!
Toa porojo.
 
What follows ni vurugu. labda iwe katika first counting hawakusaini.
 
Washindwe kabisa. wasicheze na uhai wa watu. Jamani pigeni kampeni watu waamke. Mayoweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom