Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
kuungana si kushabikiaMi siwezi shabikia simba! Labda nirogwe
MO things
Siku hiyo haitakuwa uwanja wa Taifa , lakini hatimaye soka la Tanzania litafanya muunganiko mmoja matata sana utakaokumbukwa milele .
Mungu zibariki Simba na Yanga .
Nimekupata mkuu!kuungana si kushabikia
Sawa, endelea kuotaSiku hiyo haitakuwa uwanja wa Taifa , lakini hatimaye soka la Tanzania litafanya muunganiko mmoja matata sana utakaokumbukwa milele .
Mungu zibariki Simba na Yanga .
bado unadhani tunaota ?Sawa, endelea kuota