Kuna Single father yoyote humu aliyelea mtoto akiwa mdogo peke yake?

Kuna Single father yoyote humu aliyelea mtoto akiwa mdogo peke yake?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Ningependa tushare experience hususani ya malezi ya mtoto chini ya miaka sita ukiwa kama baba yaani full responsibilities kuhakikisha mtoto anapata huduma zote za msingi.

Binafsi Nina mpango wa kuishi na mwanangu baada ya kujilidhisha pasipo na shaka kuwa mzazi mwenzangu anaelekea kushindwa na majukumu ya malezi kutokana na kuwa na watoto wengine wawili.
 
Muziki wake sio mchezo usijaribu,mpeleke kwa wazazi wako we uwe nae likizo
 
Mtoto akianza kulia usiku halafu upo pekeyako unaweza ukalia na wewe.....
 
Kazi kwelikweli. Kama issue ni ubinafsi wako nakushauri usijaribu hiyo makitu itamtesa mtoto
 
Back
Top Bottom